Wisdom youlth
Member
- Sep 14, 2011
- 73
- 17
Heshima zenu wakuu,,
Jamani naomba msaada wa hili swala, kuna jirani yetu hapa kwa bi mkubwa amejenga nyumba so kuna sehemu ya nyuma amejenga fensi kiasi cha kwamba maji yote yanakuja upande wa kwetu,,! Tumejaribu kuongea nae anajibu ikibidi atupatie fedha yaani atuvue nyumba,, tumejaribu kufuatilia kwa viongozi wa mtaa but jamaa inaonekana kaosha sana nao wanatupiga kiswahili kwamba jamaa kachukua hatuazake Tano,,, sa sijajua ikoje kwamba maji hayana njia? Kama na sisi tukichukua hizo hatua tano si itakua kuziba njia? Msaada jamani