Habarin wananzengo,
Naomba kwa wazoefu tusaidiane,
Nahitaji mtaji wa kiasi gan ili kuweza kuanzisha biashara ya duka la rejareja.
Na pia kujua vitu gan vya msingi kuwa navyo kwa ajil ya kuanzisha mfano kodi na mengineyo..
Natanguliza shukrani..
Kwa kutumia kitambulisho cha ujasiliamali, tafuta 1 mill. Kwa kupitia TRA anza na 2 - 5 million. Vitu vya muhimu kwa duka la reja reja kuna Uzi wake humu, utafute