Kwa mtaji huu biashara gani inafaa?

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Posts
23,372
Reaction score
54,943
Million mbili na nusu ni biashara gani naweza kufanya kwa wale wazoefu wa haya mambo hebu tushirikishane katika hili.

Asante.
 
Kalime Water Melon Kwa Mil 1 Mkuranga, laki 5Fuga Kuku Chotara 100, Hiyo Inayobakia Iweke, Faida Yako Itakuja Hapa Watermellon 5m-1M=4M Na Kuku 2M-0.5=1.5, Therefore Grandnet Profit Ni 1.5+4=5.5M.Hii Ni Baada Ya Almost Kiezi 3.5 Hadi 4
 
Hiyo 1mil ni gharama zote ikiwa ni pamoja na kukodi shamba au naomba ufafanuzi mkuu.
 
Huyu jamaa kakujibu kimkato,,kiasi gani unalima,haka moja au?hajafafanua,,kwa heka moja unapata 5m,na gharama zote ni 2m
 
Hata mimi sjaelewa ila ngoja nisubiri majibu yake tena
 
Haya maswala ya biashara sio ya kupewa tu ushauri juu juu, angalia unachokiweza kukifanya na kukipenda halafu kibadilishe kwenda kwenye biashara ila kabla ya yote fanya uchunguzi wa kina kuhusu target ya soko lako likoje ndipo uwekeze, vinginevyo utalia.
 
Ndio Mkuu, Shamba Unakodi Au Mtu Anakupa Tu, M1 Nimeifanyia Utafiti Hadi Field, Eka Moja Utapata Matunda Si Chini Ya 2500 Ambayo Utauza Wastani Wa Tsh 2000
 
Mkuranga matikiti chenga sana simshauri sana mtu, bora alime pilipili either mbuzi au hoho..
 
Kalime Water Melon Kwa Mil 1 Mkuranga, laki 5Fuga Kuku Chotara 100, Hiyo Inayobakia Iweke, Faida Yako Itakuja Hapa Watermellon 5m-1M=4M Na Kuku 2M-0.5=1.5, Therefore Grandnet Profit Ni 1.5+4=5.5M.Hii Ni Baada Ya Almost Kiezi 3.5 Hadi 4
Jaribu matikiti,japo faida haitakuwa kubwa kama hiyo,ukipata hata 1/2 ya hiyo ridhika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…