Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyingi sana hizo tuwasiliane nikupe mchongo na machimbo ambayo hutapigwaWadau nina 50m, naweza kwenda China kufunga mzigo?
Nyingi sana hizo tuwasiliane nikupe mchongo na machimbo ambayo hutapigwa
Naongea ninachokijua nimekaa China na nimefanya biashara sana... Watu wanapigwa sanaHahahahaaaa
Hapa naangalia tu mtu anavyopelekwa kibla..
Eti "hutapigwa".....who says?
Biashara ni kuchakata information na uchanganye na zako!
Asante mkuu , ntakupataje? Mm niko Dar.Nyingi sana hizo tuwasiliane nikupe mchongo na machimbo ambayo hutapigwa
Naongea ninachokijua nimekaa China na nimefanya biashara sana... Watu wanapigwa sana
Mzigo gani? Bunduki?Wadau nina 50m, naweza kwenda China kufunga mzigo?
Unaona China ni kama peponi?"Nimekaa sana China na Kufanya sana biashara" sentensi za mbwembwe namna hii ni hatari mno....halafu who are you for people to believe you?
Wapare bana,mbwembwe miingi,halafu mkikaa in real terms akawa shallow-tinatina!
Kwenye internet mtu akikwambia "mimi ni bora sana,najua sana China zaidi ya watu wote" inabidi uchanganye na zako vilevile!
Life is equal but not fairwakati nawaza napataje mtaji wa elf 50 leo kuna mtu ana ml 50 kweli maisha sio sawa
Inatosha, ila ushauri wangu kwako, tafuta mtu muaminifu kwaajili ya kwenda huko (mtu mwenye uzoefu na biashara ya kuchukua mzigo). Kuna watanzania wengi tu wanaoishi china/japan ambao huwapokea wabongo wanao kwenda kwaajili ya biashara.Wadau nina 50m, naweza kwenda China kufunga mzigo?
Unaona China ni kama peponi?
Mshana Jr yuko sahihi kutangaza Huduma yake, kijana acha husda
sio bunduki, bidhaa za kawaida.Mzigo gani? Bunduki?
Inatosha, ila ushauri wangu kwako, tafuta mtu muaminifu kwaajili ya kwenda huko (mtu mwenye uzoefu na biashara ya kuchukua mzigo). Kuna watanzania wengi tu wanaoishi china/japan ambao huwapokea wabongo wanao kwenda kwaajili ya biashara.
Pili kabla ya kwenda China kuendea biashara, anza kufanya RESEARCH ya biashara ambayo unayotaka kufanya na itakulipa hapa hapa tanzania. Usiende bila kujua unafuata nini huko.[emoji18]
Usikurupuke wala usidanganyike.
Tuwasiliane pmAsante mkuu , ntakupataje? Mm niko Dar.
Amina!Kila la kheri mkuu!
Poa, MkuuTuwasiliane pm