Kwa mtaji huu naweza kwenda China?

Naongea ninachokijua nimekaa China na nimefanya biashara sana... Watu wanapigwa sana

"Nimekaa sana China na Kufanya sana biashara" sentensi za mbwembwe namna hii ni hatari mno....halafu who are you for people to believe you?

Wapare bana,mbwembwe miingi,halafu mkikaa in real terms akawa shallow-tinatina!

Kwenye internet mtu akikwambia "mimi ni bora sana,najua sana China zaidi ya watu wote" inabidi uchanganye na zako vilevile!
 
Unaona China ni kama peponi?
Mshana Jr yuko sahihi kutangaza Huduma yake, kijana acha husda
 
Wadau nina 50m, naweza kwenda China kufunga mzigo?
Inatosha, ila ushauri wangu kwako, tafuta mtu muaminifu kwaajili ya kwenda huko (mtu mwenye uzoefu na biashara ya kuchukua mzigo). Kuna watanzania wengi tu wanaoishi china/japan ambao huwapokea wabongo wanao kwenda kwaajili ya biashara.

Pili kabla ya kwenda China kuendea biashara, anza kufanya RESEARCH ya biashara ambayo unayotaka kufanya na itakulipa hapa hapa tanzania. Usiende bila kujua unafuata nini huko.[emoji18]

Usikurupuke wala usidanganyike.
 
Unaona China ni kama peponi?
Mshana Jr yuko sahihi kutangaza Huduma yake, kijana acha husda

Nani kakwambia China ni peponi wewe raia?

Hakuna huduma hapa,ni msamaria ana ki-50mil chake anataka wenye information wampe,sasa kuigeuza fursa na maneno ya mbwembwe ni uduwanzi!

Hajaomba "huduma",kaomba "information" wewe mtu!
 
Asante sana kwa ushauri .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…