Kwa mtaji huu nitumie kigezo kipi kuomba chuo ?

J'MWA

Member
Joined
Nov 1, 2013
Posts
51
Reaction score
5
Wakuu nimekaa kwenye ajira ya ualimu miaka miwili sasa! nilienda chuo cha diploma nikiwa na principal mbili (E) na Subsidiary moja (S) maana nilikuwa PCB, Sasa chuo nilipata GPA ya 3.3, vp mnashauri nitumie sifa ipi kati ya hzo mbili kuomba chuo?
 
PCB?? kwa matokeo yenye EES? Cheti cha chuo weka mbali sana mkuu alafu apply kwa kutumia cheti cha form 6 alafu nenda kule loan board wambie unataka mkopo! nakuhakikishia watakupa over 70%
 
Asante sana mkuu! vp hawawezi kuzungusha coz form 6 nilimaliza 2009! otherwise,thanks a lot
 
kwa mwaka huo hawatakupa,ila ukitmia cha diploma watakupa nakuhakikishia.
 
poa mkuu nashukuru kwa ushauri ila bado sijawa na uhakika sana kwamba wakijua nafanya kazi wanaweza wasinipe mkopo
 
ngoja na mimi nisubirie majibu

vp na wewe una ishu kama hiyo nini mkuu! mi naona tatizo langu kubwa ni mode of application,kwa maana nikitumia sifa zipi itakuwa rahisi kupata chuo na mkopo pia
 
Wakuu nimekaa kwenye ajira ya ualimu miaka miwili sasa! nilienda chuo cha diploma nikiwa na principal mbili (E) na Subsidiary moja (S) maana nilikuwa PCB, Sasa chuo nilipata GPA ya 3.3, vp mnashauri nitumie sifa ipi kati ya hzo mbili kuomba chuo?

chuo lazima upate.
 
chuo lazima upate.

mm niko chuo man,nilikua kama ww kabisa yani copy na kupest.ila nilicheza mishe nika apply na chet cha dip,wamenipa 50% nakula bata kawaida.so tumia TCU =>NACTE utapata chua na mkopo man wangu,nili maliza 2009 ajira 2012,mwaka jana chuo kama kawa.well come bro.
Be with GOD.
 
mkuu bishop nashukuru sana! mi ajira pia 2012 mwaka huu lazima nami niende chuo coz si unajua tz ilivo kubwa! ajira nilipangwa Dom ndani ndani sana huku! asante sana mkuu
 
usihofu kiongozi tuko pamoja sana,incase ukihitaji kujua mambo mengine nicheki hapa 0712872378
 
vp na wewe una ishu kama hiyo nini mkuu! mi naona tatizo langu kubwa ni mode of application,kwa maana nikitumia sifa zipi itakuwa rahisi kupata chuo na mkopo pia

yes,ila nili-apply mwaka jana kwa kutumia matokeo ya form 6(2008) nikapata chuo nikakosa mkopo mwaka huu nataka nijaribu tena kwa kutumia matokeo ya dipl .
 
Wakuu nimekaa kwenye ajira ya ualimu miaka miwili sasa! nilienda chuo cha diploma nikiwa na principal mbili (E) na Subsidiary moja (S) maana nilikuwa PCB, Sasa chuo nilipata GPA ya 3.3, vp mnashauri nitumie sifa ipi kati ya hzo mbili kuomba chuo?

Cheki na sifa zinazohitajika na chuo unachotaka kujiunga nacho na kisha kufuatana na sifa wanazotaka, tumia level/cheti chenye kulingana na sifa hizo. Rahisi sana mbona au kama ulikuwa una maana tofauti na hiyo
 
Asante sana mkuu! vp hawawezi kuzungusha coz form 6 nilimaliza 2009! otherwise,thanks a lot

dada yangu kamaliza f6 2004 kapata mkopo mwaka jana tena 90% kwa kutumia chet cha f6 nakuhakilishia ukitumia cheti cha dip watajua una kaz hivyo unajiweza! umenisoma?
 
nimekusoma mkuu! pamoja sana,nashukuru sana kwa ushauri
 
wakuu ahsanteni sana kwa ushauri! kwa upande wangu hatua za kwanza kuhusiana na masuala ya ruhusa nishakamilisha! nasubiri muda ufike nipate chuo then niwaombe tena wanipe release letter.MUNGU awabariki sana
 
Wakuu nimekaa kwenye ajira ya ualimu miaka miwili sasa! nilienda chuo cha diploma nikiwa na principal mbili (E) na Subsidiary moja (S) maana nilikuwa PCB, Sasa chuo nilipata GPA ya 3.3, vp mnashauri nitumie sifa ipi kati ya hzo mbili kuomba chuo?

unataka ukasome degree ipi tena chuo,,,,education???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…