PhD,
Hata mimi siwapendi watu hao uliowataja.
Siwapendi kabisa.
we ni juha yani jitu zima mipango huna mnasababisha sisi tuliotoka shule saiv tukose mikopo sasa miaka miwili unashindwa kujilipia ada wewe kama majukumu mengi endelea kufanya kazi wewe
ukiwa umetumia ile sigara kubwa uwe unalala kwanza halafu ukiamka inakuwa imepungua kichwani ndio u-comment.
ukiwa umetumia ile sigara kubwa uwe unalala kwanza halafu ukiamka inakuwa imepungua kichwani ndio u-comment.