wakuu heshima kwenu,
Nimekuwa nahangaikia kupata habari au msaada wa mawazo kutoka sehemu mbalimbali nafikiri na hapa jamvini lazima kuna msaada mkubwa wa mchango naweza kupata kwani naamini hapa ni kitovu cha taaluma na ujuzi wa mambo.
Mimi ni kijana mdogo( under 20 )nimebahatika kupata zali la 10 million nimefikiria chakufanya nimeona niwekeze kwenye biashara ambayo baadae itakuwa msaada kwangu nitakapoanza kujitegemea kimaisha tatizo linakuja ni biashara gani nitafanya.
Ndugu zangu naombeni ushauri wenu wa kimawazo ni fanye biashara gani.
Natanguliza shukrani.