niko Arusha dar au moshi sanasanaPeas uliyopata inatosha kuanzisha biashara na ukaweza kupata faida; Lakini kabla hujapewa ushauri,
Uko wapi? Kwa sababu biashara nyingine zinategemea mazingira unayotoka.
Elimu yako,hii itasaidia pia kujua ni biashara itakufaa(ingawa hii si lazima kwa sasa)
Ukijibu haya tutajua pa kuanzia kukushauri!!
Hongera kwa kupata zali ila uzitunze!!
hah,hah,haaaaa!!! naipenda jf aisee!!!Mi nafikiri tumia tu taratibu mpaka ziishe, maana hizi biashara zinaumiza kichwa na uonevu kibao.
sielewi comment unazopata ni sababu ya ID yako ama ndio 2015 swag...
sielewi comment unazopata ni sababu ya ID yako ama ndio 2015 swag...