Kwa mtaji wa 2.5M Dodoma naweza nikafanya biashara gani?

Fanya biashara ya Nafaka uza mchele sio lazima uwe na frem unaweza ukachukua gunia zako kumi ukaweka ndani na ukatembeza sampo kwenye migahawa na mtaji ukiongezeka unatafuta frem. Pia unauza online naamini utapata wateja nafaka zinatoka sana dodoma, ukihitaji mchele wa mbeya njoo inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…