Hivi unajua hiyo biashara inakufa taratibu?Shukran
Wachache sana wanatumia Western Union na money gram sasa.Kivip?
Nimeona ni biashara ambazo watanzania wanaziogopa kuzifanya ndio maana nikataka mtu mwenye kujua angalau mtaji wake unafika ngapi ili nijue najitosa vipi huko
Kila siku ulimwengu unabdilika na mambo yanakuwa rahisi zaidi lkn hizi njia za western union na moneygram bado zitaendelea kutumiaka kwa maana ni world wide lakn kama world remit kuna baadhi ya nchi inakataa alafu makato yake ni zaidi japo ni njia ya fasta ukilinganisha na moneygram ambayo makato yake ni cheap na pia mfano world remit ina process flani za ajabu ajabu ambazo kama unapoteza mudaWenzetu wamekujibu tayari.. ukiona watu hawafanyi.. chunguza kwanza kwanini.. kutoona tu haitoshi.. kuna Wave na Worldremit pia watu wanapokea pesa kwenye mobile wallet zao.. pia kuna option mtu kutuma ziende kwenye bank account. Kila la kheri
Kila siku ulimwengu unabdilika na mambo yanakuwa rahisi zaidi lkn hizi njia za western union na moneygram bado zitaendelea kutumiaka kwa maana ni world wide lakn kama world remit kuna baadhi ya nchi inakataa alafu makato yake ni zaidi japo ni njia ya fasta ukilinganisha na moneygram ambayo makato yake ni cheap na pia mfano world remit ina process flani za ajabu ajabu ambazo kama unapoteza muda