Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaishi dar sehemu gani?Nipo dar es salaam,nina mtaji wa million mbili na nusu,nawez fanya biashara gani..naomb mchango wa mawazo
Unaishi dar sehemu gani?
Unaishi dar sehemu gani?
Mwenzako nawaza ningekuwa na at-least Milion saizi ningekuwa napakia mzigo IRINGA huko
Wema kabisa, unajua kila sehemu binadamu anapoishi kuna fursa ni swala la kuangalia vizuri eneo inaloishi, ..Unauliza kwa mema mjomba?
huko mpigi magoe hakuna shida ya maji? duka la dawa? site za ujenzi kupeleka chakula, chekechea? uhifadhi wa taka taka? embu chunguza chunguza shida za kijamii ndo unawekeza umo umo, na hazina pressure kubwa.Mpigi magoe
hela hiyo utapakia mzigo kiasi gani?
Mimi hapa nilipo nina access ya laki 5, kama ningepata hiyo milion 1 ningekuwa na uwezo wa kupakia gunia si chini ya 20 kwani gunia moja kule (njombe) kwa sasa ni 40,000 mpaka 46,000 plus gharama ya kusafirisha 10,000 kwa kila gunia kwa magunia 20 ntakuwa nimetumia M 1 mpaka M 1.2 kwa makadirio hiyo nyingine (laki 3) inakuwa kama ziada kwa jambo lolote litakalo tokea...!
Nikiufikisha mzigo town naweka faida ya 20,000 kwa kila gunia times 20 faida kama laki 4........ hapo hata wiki sichukui, nikipiga safari 3 kwa mwezi nna M 1.2 hivi kila mwezi faida!
Wacha kabisa mkuu kama vipi nikopeshe Milion 1 tu mkuu nikagombane na magunia ya viazi!
Soko halisumbui??
Watafute madem wa bongo movie watakupa dira nzuuuuriii
Halafu ukifika Dar unayauzia wapi?Mimi hapa nilipo nina access ya laki 5, kama ningepata hiyo milion 1 ningekuwa na uwezo wa kupakia gunia si chini ya 20 kwani gunia moja kule (njombe) kwa sasa ni 40,000 mpaka 46,000 plus gharama ya kusafirisha 10,000 kwa kila gunia kwa magunia 20 ntakuwa nimetumia M 1 mpaka M 1.2 kwa makadirio hiyo nyingine (laki 3) inakuwa kama ziada kwa jambo lolote litakalo tokea...!
Nikiufikisha mzigo town naweka faida ya 20,000 kwa kila gunia times 20 faida kama laki 4........ hapo hata wiki sichukui, nikipiga safari 3 kwa mwezi nna M 1.2 hivi kila mwezi faida!
Wacha kabisa mkuu kama vipi nikopeshe Milion 1 tu mkuu nikagombane na magunia ya viazi!
Jamaa anaongea kama tayari kila kitu kipo.. biashara inayoanza inahitaji kuwa na soko jipya- la kwake. Soko halipo tu. Lazima ulitafuteHalafu ukifika Dar unayauzia wapi?