Kwa mtaji wa Million 1 kwa Mwanza naweza fanya biashara gani?

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
750
Reaction score
151
Natanguliza shukrani zangu kwa wajasiriamali wote
Naomba msaada wa kimawazo Kwa mtaji wa M1 kwa Mwanza naweza fanya biashara gani??

Ntashukuru sana kwa mawazo yote ntakayopokea toka kwenu
 
fanya utafiti wewe mwenyewe;

jitathmini kwanza

tathmini miradi kama mitatu hivi alafu kachague mradi mmoja utakaokuwa na fursa nyingi kuliko vikwazo.

Angalizo: Angalia jamii iliyokuzunguka ina matatizo gani.
 
Back
Top Bottom