Ngamba JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 750 Reaction score 151 Nov 24, 2014 #1 Natanguliza shukrani zangu kwa wajasiriamali wote Naomba msaada wa kimawazo Kwa mtaji wa M1 kwa Mwanza naweza fanya biashara gani?? Ntashukuru sana kwa mawazo yote ntakayopokea toka kwenu
Natanguliza shukrani zangu kwa wajasiriamali wote Naomba msaada wa kimawazo Kwa mtaji wa M1 kwa Mwanza naweza fanya biashara gani?? Ntashukuru sana kwa mawazo yote ntakayopokea toka kwenu
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,674 Reaction score 29,643 Feb 9, 2015 #3 Mwanza upo mtaa gani mkuu
Ngamba JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 750 Reaction score 151 Feb 10, 2015 Thread starter #4 T 1990 ELY said: Mwanza upo mtaa gani mkuu Click to expand... Mkolani
Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,598 Feb 11, 2015 #5 Ngamba said: Natanguliza shukrani zangu kwa wajasiriamali wote Naomba msaada wa kimawazo Kwa mtaji wa M1 kwa Mwanza naweza fanya biashara gani?? Ntashukuru sana kwa mawazo yote ntakayopokea toka kwenu Click to expand... fanya utafiti wewe mwenyewe; jitathmini kwanza tathmini miradi kama mitatu hivi alafu kachague mradi mmoja utakaokuwa na fursa nyingi kuliko vikwazo. Angalizo: Angalia jamii iliyokuzunguka ina matatizo gani.
Ngamba said: Natanguliza shukrani zangu kwa wajasiriamali wote Naomba msaada wa kimawazo Kwa mtaji wa M1 kwa Mwanza naweza fanya biashara gani?? Ntashukuru sana kwa mawazo yote ntakayopokea toka kwenu Click to expand... fanya utafiti wewe mwenyewe; jitathmini kwanza tathmini miradi kama mitatu hivi alafu kachague mradi mmoja utakaokuwa na fursa nyingi kuliko vikwazo. Angalizo: Angalia jamii iliyokuzunguka ina matatizo gani.