Kwa mtaji wa tsh 500,000 naweza kuanza kilimo?

NIMEKIMBIA CCM

Senior Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
193
Reaction score
26
ndugu wadau,naomba ushauri wenu
mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu nimejibana pesa ya mkopo na kufanikiwa kupata kiasi cha Tsh 500,000
lengo kubwa katika maisha yangu ni kujiajiri,,sitaki baada ya kumaliza chuo ninuse hata ofisi ya mtu bali niende uraiani kuendeleza miradi yangu niliyoianzisha nikiwa chuoni na nimeonelea kujikita zaidi katika kilimo,,,
je kwa mtaji wa tsh 500,000 nitaweza kwa mradi wa vitunguu
pia napokea ushauri wowote kwa ajili tu ya kujiepusha na manyanyaso yakuajiliwa hapo badae nitakapo hitimu
naishi maeneo ya kibamba
natanguliza shukurani za dhati kwa wenye mapenzi mema na mimi.
 
Shamba unalo tayari kwa kilimo, au hiyo pesa ndiyo itatumika kununulia shamba?
 
lima bustani mkuu inaweza kutosha. Anza na mchicha,matembele,majani ya maboga. Ukiuza hizo mboga utapata mtaji mwingine. Au pitia nyuzi kuhusu kuku humu jf
asante sana ndugu kwa ushauri mzuri,MUNGU MWENYEWE AKUBARIKI
 
Mkuu unataka kulima heka ngapi na utakua unakaa kwa wazazi au unajitegemea mwenyewe?

Kmvitunguu kwa maeneo ya Morogoro ni kuzuri!
 
mungu akutangulie ..baraka ziwe juu yako ktk kila la kher.. umenipa changamoto ya kujiajiri coz hata mimi nafikiriaga nikihitimu niingie ofic gan kuliok kujiajiri..thnkx mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…