Huwezi kwenda kuomba kazi sehemu ukasema naomba mnipe kazi yoyote, hakuna anaeweza kila kitu
Specify ni Biashara gan unaipenda then upewe ushauri kuhusu hio Biashara, hauwezi kufanya Biashara yoyote kuna Biashara unaipenda itaje na pia zipo Biashara hauzipendi
Ukiambiwa hio 500k ufungue mradi wa kujumua kinyesi cha binadamu kwa ajili ya kutengeneza Biogas, utaipenda hio Biashara?