I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Rastafari inatilia mkazo Afrika, na Afrika ya ughaibuni ambayo wanaamini kuwa inanyanyaswa ndani ya jamii ya Magharibi, au "Babeli". Marasta wengi wanasisitiza wito kwa Waafrika walioko nchi za magharibi kurudi Afrika, hasa Ethiopia na pengine popote Afrika. Wanaamini kuwa bara la Afrika ni Nchi ya Ahadi ya "Sayuni".
kwa mtazamo wako binafsi Rastafari wako sawa au si sawa.
kwa mtazamo wako binafsi Rastafari wako sawa au si sawa.