Sijali
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 2,672
- 1,814
Vigezo vya maendeleo vikiwa:
- Pato la mtu binafsi.
- Lishe, angalau milo miwili yenye virutubisho vyote kwa watu wa mjini, mitatu mashambani.
- Urahisi wa kupatikana elimu inayokidhi na huduma za afya angalau za msingi (basic health services)
- Maji safi, umeme, angalau kwa 50% ya Watanzania.
- Demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.
- Urahisi wa kufanya biashara, kilimo, mahitaji muhimu; vyeti, passpoti n.k.
- Kura huru, viongozi waliochaguliwa kwa uhuru na utashi wa raia.
- Haki za kiraia.