Nchi imesimama huku wanaccm wajinga wakibaki wanasifiana tu.Vigezo vya maendeleo vikiwa:
Sasa linganisha mwaka 2022 na miaka 1965, 75, 85, 95, ukiweza toa taswira kwa walioishi enzi hizo.
- Pato la mtu binafsi.
- Lishe, angalau milo miwili yenye virutubisho vyote kwa watu wa mjini, mitatu mashambani.
- Urahisi wa kupatikana elimu inayokidhi na huduma za afya angalau za msingi (basic health services)
- Maji safi, umeme, angalau kwa 50% ya Watanzania.
- Demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.
- Urahisi wa kufanya biashara, kilimo, mahitaji muhimu; vyeti, passpoti n.k.
- Kura huru, viongozi waliochaguliwa kwa uhuru na utashi wa raia.
- Haki za kiraia.
Tunapaa...[*]Demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.
[*]Kura huru, viongozi waliochaguliwa kwa uhuru na utashi wa raia.
[*]Haki za kiraia. Sasa linganisha mwaka 2022 na enzi hizo
Vigezo vya maendeleo vikiwa: