Kwa mtazamo wangu kinachozungumziwa kwa wanawake wahehe na wabena kusifika kwa upole nakubaliana nacho

Kwa mtazamo wangu kinachozungumziwa kwa wanawake wahehe na wabena kusifika kwa upole nakubaliana nacho

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Wengi (Sio wote)

Hii kitu kiukweli na mimi naidhinisha kuna ukweli kabisa.

Wanawake hawa kiukweli kwa mtazamo wangu wanajua jinsi ya kuishi katika ndoa na kumtunza mwanaume na watoto kwa kiasi kikubwa.

Narudia tena, sio wote ila ni wengi.
 
Wahehe na Wabena njooni huku kuna promo yenu [emoji16][emoji16][emoji16]

Sidhani kama upole na uke wema wa mtu unategemea kabila. Pengine!
 
Me kwa mtazamo wangu kanda maalumu ndo inaongoza kutoa wife material ......Nshawahi kuwa na binti kutoka pande hzo dah ...yule binti azidi kubarikiwa tuu ,me ndo nlizingua mwenyewe

Note: Hakua Bikra
 
Sasa hivi mademu wote ni mcharuko hakuna mbena ,muha wala msukuma
 
Wahehe na Wabena njooni huku kuna promo yenu [emoji16][emoji16][emoji16]

Sidhani kama upole na uke wema wa mtu unategemea kabila. Pengine!
Naskia harufu ya wivu kwnye haya maandishi........Ndauli..[emoji4]
 
Wabena sawa, ila Wahehe ni Moto wa kuotea mbali. Kidada wao, udesi wao, udangaji wak, uhacu wao yaani full pasua kichwa
 
Usithubutu, nakuambia usisubutu acha,
Kama tayari unaye, usidanganye mtu,
Hao ni balaa ndugu yangu, narudia ni balaa, halafu akili yao muda wote yuko na wewe lakini akili yote ipo kwao,
Tafakari sana
 
Back
Top Bottom