Elections 2010 Kwa mtindo huu tanzania hatuna tume huru

Byendangwero

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
871
Reaction score
56
Kuna tetesi kwamba wasimamizi wa uchaguzi majimboni wamepewa
amri ya kutotangaza matokeo pale ambapo vyama vya upinzani vimeshinda mpaka kwa kibali cha serikali. Kama kuna anayejua iwapo tetesi hizo ni za kweli hatujuze.
 
actions speak louder than words.
 
Back
Top Bottom