Kuna tetesi kwamba wasimamizi wa uchaguzi majimboni wamepewa
amri ya kutotangaza matokeo pale ambapo vyama vya upinzani vimeshinda mpaka kwa kibali cha serikali. Kama kuna anayejua iwapo tetesi hizo ni za kweli hatujuze.