Kwa mtindo huu UKIMWI hautakwisha!

Bigi sikatai wala sikubali au niseme sina hakika kwamba huyu jamaa kuwa mkweli kwa wanawake wengine.
But my question is why now?? wakati mkewe hayupo??? Na mimi ananitakia nini sasa wakati anajua kuwa nina mume siwezi kuishi nae??
Kama sio kutaka kuniharibia maisha?? Nitafanya nae nini sasa??
Kutongozwa ni hatua moja na kukubali ni hatua nyingine. Mie kwa sasa sina wakati wa kutongozana nilishapita huko siku hizi nikutazama na macho huyo wa ndani ananishinda wa nje nitamweza wapi Bigi???
 
Hilo ndo lililobaki kwa kweli hakuna jinsi
 
Ndicho kilichobaki
 
Inasikitisha hasa unapokutana na ujumbe wa ajabu kiasi hicho kutoka kwa mtu ambae hujamtarajia kabisa
 
Pole DA...elimisha chama ulicho kwa kuwapa mwongozo na kuwaanika wote wenye tabia hizo chafu
 
kwani amekwambia atakutia bila kondom?acha unyanyapaaa wewe!!!mpe kitu ale pipi kwa ganda!!
 
wengine wanashabikia na wanaona haki kabisa kwa mtu ambaye unamjua kabisa kuwa ameathirika na then wewe ukalale nae kwa condom
je ikifikia condom imepasuka inakuwaje
na je hata hiyo raha ya sex itakuwepo iwapo unajua kiuhakika kuwa unayesex nae ana huo ugonjwa
 
Heri yako wewe ujuaye HIV status ya huyo jamaa...Nawaonea imani hao wasiojua chochote...ni neema ya Mungu tu itawaokoa.
 
Nashangaa yaani watu wengine sijui wanafikiria kitu gani kushabikia ujinga.

Raha itoke wapi Rocky??? Kwanza utakuwa unafanya huku BP iko juu yanini yote hayo???
 
Pole DA...elimisha chama ulicho kwa kuwapa mwongozo na kuwaanika wote wenye tabia hizo chafu

Jamani mna mpa pole ya nini kwani kafiwa? ni haki ya mtu kutongoza au kutongozwa
 
Heri yako wewe ujuaye HIV status ya huyo jamaa...Nawaonea imani hao wasiojua chochote...ni neema ya Mungu tu itawaokoa.

Hapo ndo panaponihuzunisha Sangara yaani nasikia hata mwili unapata ganzi
 
Nashangaa yaani watu wengine sijui wanafikiria kitu gani kushabikia ujinga.

Raha itoke wapi Rocky??? Kwanza utakuwa unafanya huku BP iko juu yanini yote hayo???

Yaani mi hata unichinje
najua ana ngoma na mimi nikajitumbukize pale
over my dead body sifanyi wala sijui hata kama hiyo hamu itakuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…