Kwa mtindo huu UKIMWI hautakwisha!

Yaani mi hata unichinje
najua ana ngoma na mimi nikajitumbukize pale
over my dead body sifanyi wala sijui hata kama hiyo hamu itakuwepo

Itatoka wapi Rocky wewe kwanza hata aaahhh yaani aaahhh
 
Hapo ndo panaponihuzunisha Sangara yaani nasikia hata mwili unapata ganzi

Inauma mtu huyo ndio yupo kwenye shirika la waathirika na anakuwa na tabia hatarishi kama hizi.
nilitaraji yeye ndie awe mstari wa mbele kuelimisha wenzie juu ya kujilinda na kuwalinda wasio na maambukizi.
 
Yaani mi hata unichinje
najua ana ngoma na mimi nikajitumbukize pale
over my dead body sifanyi wala sijui hata kama hiyo hamu itakuwepo

Chukulia hujui kama ana ngoma alafu baada ya siku mbili wadau wanakushtua huyo tayari ana moto na wewe umesha lala nae.
 
Inauma mtu huyo ndio yupo kwenye shirika la waathirika na anakuwa na tabia hatarishi kama hizi.
nilitaraji yeye ndie awe mstari wa mbele kuelimisha wenzie juu ya kujilinda na kuwalinda wasio na maambukizi.

Hapo sasa sijui wengine wafanyeje
 
Jamani pole ya nini tena?
Huyo jamaa ameonyesha hisia zake tu kwa D.A ni swala la DA kukubali au kukataa

Nimetoa pole kwa sababu anasema siku yake leo imekuwa si njema kutokana na mawazo.....
 
Hakuna na hamna sababu za kuanzisha thread! AMA unajiwekea bango nawe ?

Kama huna cha kuchangia nyamaza na potezea kabisa huna haja ya kunipangia kuwa nianzishe thread kwa kipi.

Potezea kwa mbali na hujalazimishwa kusoma ebo??
 
mimi ningemwambia kistaarabu,mimi nina mume na unalijua hilo.unavyofanya sivyo,kwani nakufahamu na nakuheshimu.kwa nini hujiheshimu?na kwa nini unahangaika?mambo ya ukikmwi nisingeyagusia asije kuhisi namnyanyapaa bure.huo mfano tosha,na inaonyesha anatongoza kwingi tu.
 
Chukulia hujui kama ana ngoma alafu baada ya siku mbili wadau wanakushtua huyo tayari ana moto na wewe umesha lala nae.

Bora niwe sikujua ile siku ya kwanza namtongoza
Ila nijue kabisa hapa ni waya wa umeme na bado napita na naushika
Mkuu hapo hapana
 
Bora niwe sikujua ile siku ya kwanza namtongoza
Ila nijue kabisa hapa ni waya wa umeme na bado napita na naushika
Mkuu hapo hapana

Mkuu condom si zipo unatumia kinga kisha unabonyeza kilaiiini
 
Mhhh mchungaji na wewe!!! Unapokuwa umeumia sometimes you need to talk, na yeye ameona hapa ndo mahali pa kusemea yaliyoko moyoni mwake leo.

Jibu tosha kabisa hajui ni jinsi gani siku yangu imekaa vibaya na hajui hapa ndipo napata faraja ya hali ya juu sana kuliko nilivyofikiri.

Asanteni wote kwa ushauri wenu umenipunguzia mzigo mkubwa kichwani najiona nina watu wa karibu wa kunisaidia santeni sana
 
Ok hapo nimekupata.
Kikubwa DA usimnyanyapae mdau alie onyesha hisia

Soma my first post wala hata swala la UKIMWI sitamgusia hata kidogo na wala sina huo unyanyapaa kabisa
 
Kunywa kiloba siku ikae vizuri na uifrahie.
 
Wewe Dena hebu mkubalie mwenzio bana...maisha yenyewe mafupi haya sasa kwa nini usiyafupishe kwa kula raha zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…