Kwa mtindo huu UKIMWI hautakwisha!

Soma my first post wala hata swala la UKIMWI sitamgusia hata kidogo na wala sina huo unyanyapaa kabisa

Ulimpa jibu zuri na yeye akajiona mwenye faraja? Au ulimpa jibu ambalo lilimpa matumaini ya kuendeleza kukutongoza?
 
Jaman kuwa na ukimwi hakukuzuii kumpenda mtu wala kutembea na mtu ambaye hana ukimwi ila ni jinsi gan mwenye ukimwi anajikinga na kuchukua taadhari ya kutosha kuto ambukiza wengine. Hapo kwa watu wengine wenye ukimwi ambao hawaja jitangaza wataona impact ya kujitangaza kama una VVU Kumbe watu hawawezi kukukubali ivo watajificha. Huyo mbaba unahaki ya kumkataa kwanza una ndoa yako na yeye anajua ivo kama anakupenda kwel kwa wewe kuwa umeolewa hakubali kuwa kachelewa.
 
DA, kama unakubali aliyoyasema TF, kwamba hata mwenye HIV anaweza kuoa na kuzaa watoto, basi maelezo yako yangejita zaidi kwenye kumshangaa kwa nini anakutaka wakati akijua una mume badala ya kujikita kwenye status yake ya HIV. Kwa wewe kufanya hivyo imeonesha ni kama unamnyanyapaa. Ni kana kwamba unataka kusema: "Niende wapi na mwenye HIV/Ukimwi". Kwa hiyo suala hapa siyo HIV bali ni kwamba wewe una mume na yeye anajua. Hana sababu ya kukutaka uhusiano. Lakini anaweza kutafuta wengine walio huru kuooa. Cha maana awe wazi na hali yake ya afya.
 
<br />
<br />
pole dear.some people are evil.we need 2 b careful espeally as ladies.
 


Hapo ndipo unaposhangaa watu wengine wanawazaje au wanawaza kwa kutumia nini. Huyo anataka kukuharibia tu ili aboost ego yake. Mwambie ukweli na mwambie jinsi gani amekunyima raha. Wala usimtukane ila ongea nae kistaarabu mpaka yeye mwenyewe ajione mjinga tena asiye na huruma na binadamu wenzie. Huwezi jua waweza kuponya maisha ya wadada wengine ambao wengekuwa victim huko mbeleni.
 
Huyu Dena anambania jamaa....hajui kama samaki akitoka baharini huja nchi kavu!!!

Ha ha ha ha una mambo kaka...................hilo kwangu haliwezekani aisee hata uniwekee AK 47 bora nife tu kwa hilo hapana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…