Kwa Mtizamo wangu Simba SC katika Mechi ya marudiano na Orlando Pirates FC Johannesburg ikiingia na Mikakati hii inafuzu Kibabe Nusu Fainali CAFCC

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
1. Timu ifike Johannesburg Siku Moja kabla ya Mechi na isiwahi Kufika tafadhali

2. Mfumo pekee wa Kuutumia tukienda huko uwe ni wa ama 3-5-2 au wa 4-5-1 nikimaanisha 95% Defensive tu

3. Timu icheze kwa Kugawa dakika ambapo dakika 15 za Kwanza tunazuia, dakika 15 za pili tunashambulia na dakika 15 za mwisho tunazuia na Kipindi cha Pili tunabadili ambapo dakika 15 za Kwanza tunashambulia, dakika 15 za pili tunazuia na dakika 15 za mwisho tunashambulia

4. Nitapenda zaidi Onyango arejee Kucheza na Inonga ila Kocha afanye kila awezalo kwakuwa tunataka mno Kulilinda Goli letu awachexeshe Viungo wote Watatu wenye DNA halisi za Ukabaji na Kusukuma Mashambulizi akina Mkude, Lwanga na Kanoute

5. Beki Henock Inonga ashauriwe kwa Nia njema tu apunguze Over Confidence and Over Doing yake hasa kwa Mchezo huu wa Marudiano kwani anaweza Kutugharimu na najua tayari Makocha na Team Performance Analysts wa Orlando Pirates FC wameshamsoma ipasavyo hii leo

6. Ikiwapendeza Uongozi wa Simba SC kuanzia Kesho hadi Siku ya Mechi ya Marudiano na Orlando Pirates FC huko Kwao Johannesburg Afrika Kusini Wachezaji wa Simba SC Wajengwe vyema Kisaikolojia kwani Ushangiliaji wa Waafrika Kusini ni wa hali ya Juu na Uwanja utajazwa Full Capacity kuliko hata walivyozoea hapa Kwetu ( Kwao ) Tanzania

7. Nidhamu ya Mchezo iwe juu kwa Wachezaji wa Simba SC ili Wasiadhibiwe na Kuigharimu Timu. Na pia ikiwezeksna pamoja na Klabu ya Simba kuwa na Mratibu Wao Abbas ila ikiwezeksna Uongozi wa Simba SC uwape Majukumu ya Kuipokea, Kuiongoza na Kuilinda Timu Watanzania wana Simba SC waishio Johannesburg ( ambao ni Wengi tu ) ili tuepuke na Mitego ambayo nina uhakika wa 99% hawa Orlando Pirates FC watatuwekea nje na ndani ya Uwanja ili Kutudhoofisha Kisaikolojia.

Tafadhali kwakuwa sasa tunataka kuipa Mikakati ( Strategy ) Simba SC ili ikapate Mafanikio na Matokeo katika Mechi yao hii ya Marudiano basi ningependa nanyi pia mtoe Mitazamo yenu na Mawazo ya Kiufundi ili tuisaidie Simba SC nikiamini hapa JamiiForums pia wapo Viongozi Waandamizi wa Simba SC hivyo Miichango yetu itakuwa Msaada mkubwa Kwao
 
Hivi mpaka sasa ,mashindano ya mwakani, tunaingisa timu ngapi?
 
Tayari kwa Alama ( Points ) ,30.5 za Simba SC imeshaingiza Timu Nne ambapo Mbili ni za Klabu Bingws Afrika na Mbili ni za Kombe la Shirikisho.
 
Nauliza Ile VAR ya mechi ilikua ya CAF au CUF maana hatukuona tukio likilejewa ila yalikua mazungumzo baina ya refa sijui na mshika kibendera au kami saa.
Au ndio VAR za Afrika zinavyo fanya kazi.
Kweli Afrika michongo haitakwisha.

Simba ina janja janja ya kuhonga marefa. Leo VAR haijatumika kabisaa. Ilikuwa mbovu sijui haikuja

Jana VAR ilikataa goli la Mamelodi na marudio yakawa yanaoneshwa. Na refa alitoka uwanjani na kwenda kutazama video huku anaoneshwa na camera akilitazama goli.

Ila leo refa anaongea na mic yake tu eti ndio VAR
 
Mpira ni uwekezaji hauna blabla Wala kuchinja paka na kufukia makafara. We una Kibu na Mugalu alafu unataka kucheza nusu fainali CAF. Tieni ela mpate raha.
Huku siyo kuteseka, Bali ni utapiaji
 
Nauliza Ile VAR ya mechi ilikua ya CAF au CUF maana hatukuona tukio likilejewa ila yalikua mazungumzo baina ya refa sijui na mshika kibendera au kami saa.
Au ndio VAR za Afrika zinavyo fanya kazi.
Kweli Afrika michongo haitakwisha.
Kwamba kwa kuwa Choo kipo, hata kama huna haja unaenda kujisaidia
 
Tayari kwa Alama ( Points ) ,30.5 za Simba SC imeshaingiza Timu Nne ambapo Mbili ni za Klabu Bingws Afrika na Mbili ni za Kombe la Shirikisho.
Hivi mgawanyo wa hizo nafasi kwa TFF umekaaje??Bingwa wa Ligi na Nani mwingine watashiriki kwa pamoja klabu Bingwa Afrika na Nani na Nani wataenda Shirikishoo??
 
Nauliza Ile VAR ya mechi ilikua ya CAF au CUF maana hatukuona tukio likilejewa ila yalikua mazungumzo baina ya refa sijui na mshika kibendera au kami saa.
Au ndio VAR za Afrika zinavyo fanya kazi.
Kweli Afrika michongo haitakwisha.
Wanasema VAR iliyopaswa kufungwa ni ile iliyoibiwa kule Nigeria,jana hakukuwa na VAR.
 
Nauliza Ile VAR ya mechi ilikua ya CAF au CUF maana hatukuona tukio likilejewa ila yalikua mazungumzo baina ya refa sijui na mshika kibendera au kami saa.
Au ndio VAR za Afrika zinavyo fanya kazi.
Kweli Afrika michongo haitakwisha.

Nani alwazuia Olrando wasifunge?
 
1. Timu ifike Johannesburg Siku Moja kabla ya Mechi na isiwahi Kufika tafadhali

2. Mfumo pekee wa Kuutumia tukienda huko uwe ni wa ama 3-5-2 au wa 4-5-1 nikimaanisha 95% Defensive tu

3. Timu icheze kwa Kugawa dakika ambapo dakika 15 za Kwanza tunazuia, dakika 15 za pili tunashambulia na dakika 15 za mwisho tunazuia na Kipindi cha Pili tunabadili ambapo dakika 15 za Kwanza tunashambulia, dakika 15 za pili tunazuia na dakika 15 za mwisho tunashambulia

4. Nitapenda zaidi Onyango arejee Kucheza na Inonga ila Kocha afanye kila awezalo kwakuwa tunataka mno Kulilinda Goli letu awachexeshe Viungo wote Watatu wenye DNA halisi za Ukabaji na Kusukuma Mashambulizi akina Mkude, Lwanga na Kanoute

5. Beki Henock Inonga ashauriwe kwa Nia njema tu apunguze Over Confidence and Over Doing yake hasa kwa Mchezo huu wa Marudiano kwani anaweza Kutugharimu na najua tayari Makocha na Team Performance Analysts wa Orlando Pirates FC wameshamsoma ipasavyo hii leo

6. Ikiwapendeza Uongozi wa Simba SC kuanzia Kesho hadi Siku ya Mechi ya Marudiano na Orlando Pirates FC huko Kwao Johannesburg Afrika Kusini Wachezaji wa Simba SC Wajengwe vyema Kisaikolojia kwani Ushangiliaji wa Waafrika Kusini ni wa hali ya Juu na Uwanja utajazwa Full Capacity kuliko hata walivyozoea hapa Kwetu ( Kwao ) Tanzania

7. Nidhamu ya Mchezo iwe juu kwa Wachezaji wa Simba SC ili Wasiadhibiwe na Kuigharimu Timu. Na pia ikiwezeksna pamoja na Klabu ya Simba kuwa na Mratibu Wao Abbas ila ikiwezeksna Uongozi wa Simba SC uwape Majukumu ya Kuipokea, Kuiongoza na Kuilinda Timu Watanzania wana Simba SC waishio Johannesburg ( ambao ni Wengi tu ) ili tuepuke na Mitego ambayo nina uhakika wa 99% hawa Orlando Pirates FC watatuwekea nje na ndani ya Uwanja ili Kutudhoofisha Kisaikolojia.

Tafadhali kwakuwa sasa tunataka kuipa Mikakati ( Strategy ) Simba SC ili ikapate Mafanikio na Matokeo katika Mechi yao hii ya Marudiano basi ningependa nanyi pia mtoe Mitazamo yenu na Mawazo ya Kiufundi ili tuisaidie Simba SC nikiamini hapa JamiiForums pia wapo Viongozi Waandamizi wa Simba SC hivyo Miichango yetu itakuwa Msaada mkubwa Kwao
Kinachoniuma kwenye mpira wa Bongo, kila shabiki anaamini yeye ni bonge la kocha.
 
Nauliza Ile VAR ya mechi ilikua ya CAF au CUF maana hatukuona tukio likilejewa ila yalikua mazungumzo baina ya refa sijui na mshika kibendera au kami saa.
Au ndio VAR za Afrika zinavyo fanya kazi.
Kweli Afrika michongo haitakwisha.
Uto.. kwenye ubora wako
 
Back
Top Bottom