Kwa Mtizamo wangu Simba SC katika Mechi ya marudiano na Orlando Pirates FC Johannesburg ikiingia na Mikakati hii inafuzu Kibabe Nusu Fainali CAFCC

Hizi ndizo taarifa pekee MAKOLOKOLO hupenda kuzipata na wala si kuwaponda wala kuwakosoa kuwa hawafanyi vibaya [emoji3526]
 
Nauliza Ile VAR ya mechi ilikua ya CAF au CUF maana hatukuona tukio likilejewa ila yalikua mazungumzo baina ya refa sijui na mshika kibendera au kami saa.
Au ndio VAR za Afrika zinavyo fanya kazi.
Kweli Afrika michongo haitakwisha.
Mi mwenyewe nilijua ile ni VAR ya mchongo tu, inamaana ilihitaji kiasi gani cha pesa kumshawishi Refa aende kujiridhisha maamuzi yake tokana na madai ya wachezaji [emoji848][emoji2]
 

Kama Simba ina uwezo wa kuhonga marefa wakubwa wa CAF basi ujue ndiyo ukubwa wenyewe huo.
Hivyo mukiambiwa Simba Timu kubwa basi musianze kuharisha wakati Tanzania hakuna Timu nyengine yenue uwezo wa kuhonga marefa wakubwa wa CAF.
 
Mi mwenyewe nilijua ile ni VAR ya mchongo tu, inamaana ilihitaji kiasi gani cha pesa kumshawishi Refa aende kujiridhisha maamuzi yake tokana na madai ya wachezaji [emoji848][emoji2]

Subirini mwakani zamu yenu itafika musiwe na papara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…