Kwenu wana JF eti mtu anakudai let say pesa. Na wewe ukakubali unadiwa na akaenda polisi nako ukakiri. Utaratibu unakuwaje? Na je mahakamani utaratibu wa kesi kama hii ukoje?
Hiyo ni kesi ya madai haikuhitaji ifike polisi. Ukifika mahakamani ukukubali basi hukumu itatolewa kuwa ulipe ambacho kitakacho fuata ni kukaza hukumu kama hutatekeleza kilicho amriwa kwenye hukumu.