Kwa mtu anayelipwa mshahara wa laki tano anaweza kukopa benki?

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,153
Reaction score
2,647
Hapa mnasemaje wazoefu kuhusu mikopo ya benki kwa wale wanaolipwa mishahara kuanzia laki tatu hadi laki tano(300,000 - 500,000), je italeta faida au hasara?
 
faida au hasara itategemea na wewe unatak kufanyia nn huo mkopo wako
 
Mkopo Ni sesho kwa shughuli maalumu ya uzalishaji.
Ukiwa Na salary slip Tu unakopeshwa Tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…