Homa za mara kwa mara zisizoeleweka, dizzy, ujauzito kupotea after few month, kuchoka bila kufanya kazi, kijasho chembamba kinavuja, vichomi kila kona, hofu nyingi, mawazo yasiyokwisha, kupenda kuangalia mada nyingi hasa zinazohusu ukimwi, kufuatilia kwa karibu nani kakuambukiza, kuwa na wasiwasi, woga, kukata tamaa.
Aisee dalili ni nyingi sana ila ukishaanza kuharisha tu kwisha habari yako.

Mleta mada anaulizia zile dalili za awali kabisa kuwa umepata VVU kabla hata ya CD4 kushuka.Niseme kwa ile miezi ya awali kabisa kabla hata ya magonjwa nyemelezi. Kumbuka magonjwa nyemelezi huanza pale CD4 zinaposhuka!!! Na ukumbuke kuwa kama unakula vizuri CD4 zako zinaweza kudumu hata miaka kumi bila kuonesha dalili kabisa ya ukimwi. Cha msingi kwa wale ambao say jana walipata maambukizi je kuna dalili yoyote atakuwa nayo katika mwili wake hasa katika ku-adopt kuwahifadhi foreign agent katika mwili sasa? Maana wanaingia, sidhani kama wanaingia kimya kimya na wakishaingia wanajiweka sawa wanatulia wanaanza kuzaliana na kushambulia kinga ndiyo CD4 zinahusika sasa. Tafadhali wenye uelewa wa mambo haya hebu wasaidie.
Aisee nimedadavua mbaya, ila watu naona wagumu kuzielwa.duu hizi dalili za sizinga ni noma sana..
Kama hujielewi basi 10% tayari unao, coz uchovu ni dalili mojawapo.mkuu hapo kwenye uchovu, sijielewi siku hizi!!
Homa za mara kwa mara zisizoeleweka, dizzy, ujauzito kupotea after few month, kuchoka bila kufanya kazi, kijasho chembamba kinavuja, vichomi kila kona, hofu nyingi, mawazo yasiyokwisha, kupenda kuangalia mada nyingi hasa zinazohusu ukimwi, kufuatilia kwa karibu nani kakuambukiza, kuwa na wasiwasi, woga, kukata tamaa.
Aisee dalili ni nyingi sana ila ukishaanza kuharisha tu kwisha habari yako.
holy crazyyyyyyyyyyyy
hA HAHAHA People are so F** CRAZY
mkuu hapo kwenye uchovu, sijielewi siku hizi!!
:smile-big: yaani nimecheka sana huyu Majigo sijui kuna sehemu kapita anahisi sio salama yaani ukimpa ushauri wa kumpa moyo anaufurahia. Yaani Sizinga alisha mchanganya kabisaa!Msituzinguwe na dalili dalili!! Kila ugojwa ni dalili za ukimwi. Msituweke matumbo joto kwa sisi wenye vikoozi visivyo pona. Mara uchovu, mara nini!!! Mkome