Kwa mtu mwenye HIV, Ni dalili gani za kwanza humpata, na huonekana baada ya muda gani?

Hivi inakuwaje kama mtu unawashwa Sana kuanzia chini ya kitovu hadi kwenye mapaja unawashwa kinoma na kutoka viupele? Ebu nisaidieni
 
Tezi

Tezi zitavmba sehem mbalimbal za mwil ili kuwafilter hao wageni so vtu kama vile homa kikooz vnaweza jitokeza.
 
Dalili za mwanzo huwa ni non specific, may range from mafua, kuchoka, homa zisizo sababu na tezi za mwili kuvimba kisha hupotea, kuhusu mda hutegemeana na serotype ya kirusi but somd may take up 15yrs
 

Acha uongo ujauzito unapoteaje?
 
dah! Hizo dalili zako kidogo zinatuletea utata ila mimi sina mafua na huo utando, pia nimeshajua sina tatizo lolote... bali ni kauchovu ka kawaida tu!
Dah. Tunacheka ila Sio mazuri haya
 
Dalili ya Kwanza ni mafua, halafu huambatana na homa, Kisha vipele vidogo vidogo itategemea na afya yako
 
Aisee nimedadavua mbaya, ila watu naona wagumu kuzielwa.

Kama hujielewi basi 10% tayari unao, coz uchovu ni dalili mojawapo.
Hahah wanasemaga unapata mafua flani ya ghafla mwanzoni kabisa ila yatapita kuashiria kinga imeanza kuvamiwa.

Baada ya muda kidogo utaanza kusikia hali ya misuli imechoka mda wote na uchovu sana hata kama we sio mtu wa activity sana ila ukitembea kidogo tu unachoka balaa na misuli kuvuta. Design kama utajikuta umepoteza stamina.

Kingine ni skin rash, utaanza kuona unapata patches flani kwenye ngozi kama mapunye ila sio mapunye exactly na wala hayaumi. Inaeza kuwa cluster ya vipele ambavyo vidogo dogo sana vinakauka na kutoa unga unga kama mba ila haviumi hasa mikononi!

Hayo ni machache kwa mujibu wa madaktari wazoefu!
 
We ushaikanyaga miwayer usijipe moyo...kapime usiue wenzio
dah! Hizo dalili zako kidogo zinatuletea utata ila mimi sina mafua na huo utando, pia nimeshajua sina tatizo lolote... bali ni kauchovu ka kawaida tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…