Kwa muda sasa nimekuwa na idea ya kutengeneza Aircraft

mahadhialy

Member
Joined
Oct 19, 2019
Posts
45
Reaction score
24
Habari zenu wana ndugu, kwa muda sasa nimekuwa na idea ya kutengeneza Aircraft sasa hapa nimepata dola 785,000 katika biashara zangu sasa nataka nikamilishe hii idea sasa ninaomba ufafanuzi kuhusu hiproject kwa hiki kiasi naweza kuitimeza idea yangu
 
Kuwa specific unataka kutengeneza aircraft gani?

Maana hiyo hela yako haifiki hata 10% ya bei ya engine moja ya Rolls Royce Trent 900.
 
Habari zenu wana ndugu, kwa muda sasa nimekuwa na idea ya kutengeneza Aircraft sasa hapa nimepata dola 785,000 katika biashara zangu sasa nataka nikamilishe hii idea sasa ninaomba ufafanuzi kuhusu hiproject kwa hiki kiasi naweza kuitimeza idea yangu
Dah...pamoja mkuu...ukifikia hatua ya kuhitaji mfumo wa kutembea na mawasiliano tupeani shavu [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…