Kwa mujibu wa bodi ya ligi leo washabiki waliojaa uwanjani ni wa KMC

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Ikumbukwe waliojaza uwanja wengi ni yanga na wale wa simba waliojaa kushangilia kmc hata simba ikienda mikoani hali huwa hivyo watajaa wa simba na wa yanga kushangilia team pinzani

Sasa bodi ya ligi mwishoni mwa msimu kwenye takwimu zao ni kwamba hawa ni mashabiki wa KMC, mkae mkijua hilo.
 
Lofa katika ubora
ujnafanya nini kwenye hili jukwaa kama hujui hata bodi ya ligi huw inatoa takwimu za mashabiki kujaa uwanjani kwa kuangalia team mwenyeji? nenda jukwaa la kilimo ku discuss kilimo cha ndulele jinga la mwisho
 
Acha kuvutana na hilo zoba😀
 
Ikumbukwe waliojaza uwanja wengi ni yanga na wale wa simba waliojaa kushangilia kmc hata simba ikienda mikoani hali huwa hivyo watajaa wa simba na wa yanga kushangilia team pinzani

Sasa bodi ya ligi mwishoni mwa msimu kwenye takwimu zao ni kwamba hawa ni mashabiki wa kmc ,mkae mkijua hilo
Kwanini usijaze kwenye game zako za nyumbani ? Zaidi ili uwazidi wengine?

Kwahiyo yanga nayo iliwezaje kujaza watu wengi kuliko timu zote msimu uliopita iliwapata ugenini?.
 
Back
Top Bottom