CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
ni kwa sababu una akili saizi ya kisoda huwezi elewaWewe chizi hujaeleweka
Lofa katika uborani kwa sababu una akili saizi ya kisoda huwezi elewa
ujnafanya nini kwenye hili jukwaa kama hujui hata bodi ya ligi huw inatoa takwimu za mashabiki kujaa uwanjani kwa kuangalia team mwenyeji? nenda jukwaa la kilimo ku discuss kilimo cha ndulele jinga la mwishoLofa katika ubora
Acha kuvutana na hilo zoba😀ujnafanya nini kwenye hili jukwaa kama hujui hata bodi ya ligi huw inatoa takwimu za mashabiki kujaa uwanjani kwa kuangalia team mwenyeji? nenda jukwaa la kilimo ku discuss kilimo cha ndulele jinga la mwisho
Sasa kisa hujamuelewa ndio umuite chizi sasa.Wewe chizi hujaeleweka
Kwanini usijaze kwenye game zako za nyumbani ? Zaidi ili uwazidi wengine?Ikumbukwe waliojaza uwanja wengi ni yanga na wale wa simba waliojaa kushangilia kmc hata simba ikienda mikoani hali huwa hivyo watajaa wa simba na wa yanga kushangilia team pinzani
Sasa bodi ya ligi mwishoni mwa msimu kwenye takwimu zao ni kwamba hawa ni mashabiki wa kmc ,mkae mkijua hilo