Kwa mujibu wa CCM Umasikini nchini utaisha lini na sasa tuko hatua gani?

Kwa mujibu wa CCM Umasikini nchini utaisha lini na sasa tuko hatua gani?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
CCM ndio chama kilichoamoniwa kutupa mwelekeo wa taifa. Hata wananchi walipoulizwa kama wanataka vyama vingi miaka ya 90 walisema kwa zaidi ya 80% CCM iendelee.

Huwa sijui kwa Mujibu wa CCM na ilani zao wao wamepanga kuumaliza umasikini lini?

Katika mikakati yao sasa hivi tuko katikqti ya safari mwanzo au mwisho?

Katika harakati zangu binafsi za kupambana na hili gonjwa la umasikinj kujua hili ni muhimu sana.

Wajuvi mnijuze.

Mtumishi Matunduizi
 
Back
Top Bottom