BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Let's say hii meli ndio imekuja bongo na mzigo wote inabidi ushuke Bandari ya Dar es salaam yaani TPA na mdau wake DP world watabaki Wanaumiza vichwa eneo la kupaki magari yote 9100 katika good condition na kuhakikisha hawachanganyi chochote kwa maana ya rekodi za vitabu na mzigo physically.