BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Incase ikajahaujaeleweka imekuja ? au kama ikitokea ikaja?
Huwa inakuja ila haishushi gari zote. Ye anakisia ikitokea siku ikaja na kupakua gari zote ambazo ina uwezo wa kubeba 9000+, bandari yetu itaweza kuzishughulikia kwa wakati?haujaeleweka imekuja ? au kama ikitokea ikaja?
Kimsingi magari yanachangia pakubwa kwenye mapato ya TRA..Achaikujeeer sasaaa....tuone uchumi wetu unategemea wanunua IST?
Uwezekano wa kufika upo mkuu sema ni vile haijatokea..hizo ndoto zako unazoota hazina uhalisia kwani hakuna meli itakayoshusha magari 9000 bongo..ww ushasema hiyo meli ina uwezo ww kubeba magari 9000 alafu na yote hayo yashushe DAR haiwezi kutokea hata yakija elfu 9 mengine lazima yaende bandari za beira,durban,angola na mombasa..acha mawazo ya kufikirika
kufika itawezekana endapo TRA wakishusha kodi na ushuru wao wa kinyonyaji sio eti gari unanunua million 30 alafu kodi ulipe million 25Uwezekano wa kufika upo mkuu sema ni vile haijatokea..