Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mara moja kwa week huwa natumia mkaa kung'arishia meno. Nina meno meupe na napenda yaendelee kuwa meupe maana mademu pia wanayafagilia sana. Ila yananifanya niweze tabasamu muda wote hata ukiniudhi.
Juzi kuna mt alinikuta natumia mkaa kufanya jambo hilo. Akanambia kwa mujibu wa dini yetu ya Kiislamu. Ni dhambi. Nikamuuliza how is a sin? Hakuweza nielezea.
Nimekaa nikawa natafakari sana jambo hili but sijapata majibu hata. Kwa nini ni dhambi? Nahitaji msaada. Mnisamehe maana nina penda kuhoji najua hii pia itaniondolea sifa ya kuwa muumini.
Muumini mzuri ni yule asiye hoji.mimi nina tatizo la kuhoji kutaka kufahamu logic.