Kwa mujibu wa gazeti la Mirror inasemekana Ronaldo ataondoka Italy na kuelekea either France au kurudi Spain

Kwa mujibu wa gazeti la Mirror inasemekana Ronaldo ataondoka Italy na kuelekea either France au kurudi Spain

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Kwa mujibu wa gazeti la Mirror inasemekana Ronaldo ataondoka Italy na kuelekea either France au kurudi Spain.

Na katika sehemu zote hizo mbili uwezekanol mkubwa uliopo inasemwa ni wa yeye cr7 kurudi spain ila kwa kile kilichoitwa^Shocking transfer^mnyama huyu anakwenda ungana na La Pulga pale Fc Barcelona na si Real Madrid kama ambavyo wengi wangefikiria.
 
Huyo anaenda kucheza msimu wake wa mwisho, 2022/2023 itaisha ghafla na atabaki kua sub na baada ya hapo 2023/2024 atatundika daruga.
 
Back
Top Bottom