Kwa mujibu wa gazeti la Mirror inasemekana Ronaldo ataondoka Italy na kuelekea either France au kurudi Spain.
Na katika sehemu zote hizo mbili uwezekanol mkubwa uliopo inasemwa ni wa yeye cr7 kurudi spain ila kwa kile kilichoitwa^Shocking transfer^mnyama huyu anakwenda ungana na La Pulga pale Fc Barcelona na si Real Madrid kama ambavyo wengi wangefikiria.