Wabunge wanakatwa kodi.Kwenye ule mshahara ghafi wa mbunge, huwa wanakatwa kodi? Wanachangia mifuko ya jamii? Kile kiinua mgongo chao, huwa kinatokana na kikokotoo gani? Maana watumishi wote wa umma wangependa na wenyewe wapate kama yeye alivyopata kila baada ya miaka 5 ya kuwa mpiga domo tu.
Pengine wangeweka na Job descriptions kwa wabunge ili tujue majukumu yao ya msingi na wananchi tuwawekee KPI kwa mwaka/term.
Na baada ya hapo, afafanue kwanini mwalimu, mwanajeshi, n.k hapewi sitting allowance kila anapoenda kazini kama yeye anapoenda mjengoni.
Siyo wote wanakatwa kodi. Ukitaka kuwa Jaji.Sawa.... Lakini wote tukatwe kodi
Ova
Hujui kitu kaa pembenjWabunge wanakatwa kodi.
Nimeamua kukupuuza.Hujui kitu kaa pembenj
Huna lolote wewe ndiyo maana hata Lowassa amekuacha solema!Nimeamua kukupuuza.
Sasa muda wake bundle yake, simu yake, wewe kinakuuma nini kama sio uwendawazimu?Unapoteza muda wako bure. Lissu hawezi kuwa Rais wa JMT labda rais wa Chadema. Kama anaweza aende porini akawe rais huko!!
Wewe kitu gani kinakuuma? Sijaelewa maisha ya mtu mwingine inakuaje uhangaike nayo kiasi hichoHuna lolote wewe ndiyo maana hata Lowassa amekuacha solema!
Safi, je na wenyewe wako kwenye hii PAYE yetu au wanayo yakwao? Maana spika Makinda alisema Basic salary ya mbunge ni Tzs 2,500,000. Je, anakatwa kuweka hela kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii? Bunge linamchangia pia ile 15% au 10% kama waajiriwa wengine?Wabunge wanakatwa kodi.
Wako kwenye PAYE kama sisi wengine.Hayo mengine sifahamu.Safi, je na wenyewe wako kwenye hii PAYE yetu au wanayo yakwao? Maana spika Makinda alisema Basic salary ya mbunge ni Tzs 2,500,000. Je, anakatwa kuweka hela kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii? Bunge linamchangia pia ile 15% au 10% kama waajiriwa wengine?
Asante boss.Wako kwenye PAYE kama sisi wengine.Hayo mengine sifahamu.
Pole ndg,Unapoteza muda wako bure. Lissu hawezi kuwa Rais wa JMT labda rais wa Chadema. Kama anaweza aende porini akawe rais huko!!
Rais/judge akatwe asikatwe ina mashiko gani?Vile vile naamini itakuwa ni mwanzo wa Raisi wa nchi hii nae kukatwa kodi katika mshahara wake