Kwa mujibu wa maandiko matakatifu ngano, samaki, nyama na mtama ndiyo vyakula bora na vilivyobarikiwa zaidi duniani

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu

Usiku mwema

Akawaagiza makutano waketi katika majani; akaitwaa ile mikate mitano na wale samaki wawili, akatazama juu mbinguni, akabariki, akaimega ile mikate, akawapa wanafunzi, wanafunzi wakawapa makutano.

Mwanzo 18:6 Basi Ibrahimu akaenda hima hemani kwa Sara, akasema, Himiza vipimo vitatu vya unga safi, uukande, ufanye mikate.

Mwanzo 18:7 Ibrahimu akapiga mbio kwenda kundini, akaleta ndama wa ng'ombe aliye laini, mzuri, akampa mtumishi, naye akahimiza kuiandaa.
 
Kwahiyo vyakula fulani vikitajwa kwenye vitabu vya dini ndiyo vyakula bora? 🙄
 
Kabla ya hapo aliwauliza, mna nini? Wakamjibu samaki watano na mikate miwili tu.

Wangemjibu Wana ndizi na nyama, asingevibariki?
ugali pia huenda angeupotezea
 
Mada nyingine za kipumbavu sana.
Hapa jf kuna watu wa kila aina,

Wakubwa,
Wadogo,
Wenye IQ kubwa,
Wenye IQ ndogo,
Wenye kufurahisha jukwaa,
Wanaojifunza kuleta threads
Na wengine weeengi

Ukiona Mada huielewi,pita kimyakimya

Neno UPUMBAVU halina tija yeyote.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu

Usiku mwema

Akawaagiza makutano waketi katika majani; akaitwaa ile mikate mitano na wale samaki wawili, akatazama juu mbinguni, akabariki, akaimega ile mikate, akawapa wanafunzi, wanafunzi wakawapa makutano.

Mwanzo 18:6 Basi Ibrahimu akaenda hima hemani kwa Sara, akasema, Himiza vipimo vitatu vya unga safi, uukande, ufanye mikate.

Mwanzo 18:7 Ibrahimu akapiga mbio kwenda kundini, akaleta ndama wa ng'ombe aliye laini, mzuri, akampa mtumishi, naye akahimiza kuiandaa.
Hagai 2:12

[12]Mtu akichukua nyama takatifu katika upindo wa nguo yake, naye akagusa kwa upindo wake mkate, au UGALI , au divai, au mafuta, au chakula cho chote, je! Kitu hicho kitakuwa kitakatifu?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu

Usiku mwema

Akawaagiza makutano waketi katika majani; akaitwaa ile mikate mitano na wale samaki wawili, akatazama juu mbinguni, akabariki, akaimega ile mikate, akawapa wanafunzi, wanafunzi wakawapa makutano.

Mwanzo 18:6 Basi Ibrahimu akaenda hima hemani kwa Sara, akasema, Himiza vipimo vitatu vya unga safi, uukande, ufanye mikate.

Mwanzo 18:7 Ibrahimu akapiga mbio kwenda kundini, akaleta ndama wa ng'ombe aliye laini, mzuri, akampa mtumishi, naye akahimiza kuiandaa.
Ndivyo vyakula vilivyositawi zaidi Mashariki ya Kati kwenye hali ya ukame na bahari ya Shamu na Mediteranian. Huko Moshi vyakula vilivyobarikiwa zaidi ni ndizi, viazi, nduu, mafure, shia, kibulu, machalari, mbege na ndafu.
 
ngano bora ni ile ambayo haijakobolewa, usitegemee kula machapati yaliyotoka unga wa azam uwe kama wanaisraeli
 
Back
Top Bottom