Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
ugali pia huenda angeupotezeaKabla ya hapo aliwauliza, mna nini? Wakamjibu samaki watano na mikate miwili tu.
Wangemjibu Wana ndizi na nyama, asingevibariki?
Na kuna hawa mapadri wakike wanatuvalia vimini wamegeuza kanisa kuwa danguroLeo hii watu wanavaa kanzu,eti ni vazi takatifu lakini wanapanda magari badala ya ngamia
Hapa jf kuna watu wa kila aina,Mada nyingine za kipumbavu sana.
Hakuna Padri wa kike tangu Dunia iumbweNa kuna hawa mapadri wakike wanatuvalia vimini wamegeuza kanisa kuwa danguro
Hagai 2:12Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu
Usiku mwema
Akawaagiza makutano waketi katika majani; akaitwaa ile mikate mitano na wale samaki wawili, akatazama juu mbinguni, akabariki, akaimega ile mikate, akawapa wanafunzi, wanafunzi wakawapa makutano.
Mwanzo 18:6 Basi Ibrahimu akaenda hima hemani kwa Sara, akasema, Himiza vipimo vitatu vya unga safi, uukande, ufanye mikate.
Mwanzo 18:7 Ibrahimu akapiga mbio kwenda kundini, akaleta ndama wa ng'ombe aliye laini, mzuri, akampa mtumishi, naye akahimiza kuiandaa.
Ndivyo vyakula vilivyositawi zaidi Mashariki ya Kati kwenye hali ya ukame na bahari ya Shamu na Mediteranian. Huko Moshi vyakula vilivyobarikiwa zaidi ni ndizi, viazi, nduu, mafure, shia, kibulu, machalari, mbege na ndafu.Wadau hamjamboni nyote?