C Cashman JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 3,017 Reaction score 5,294 Nov 29, 2023 #1 Rejea maelezo ya Manara juu ya uvaaji wa vazi maarufu kama msuli au kikoi. Kwa hiyo wananchi wanaovaa vikoi kwa sasa ndani wako utupu kama walivyozaliwa.Hii ni hatari mno kwa afya. Mtapigwa goli na hadi mtavua hiyo misuli
Rejea maelezo ya Manara juu ya uvaaji wa vazi maarufu kama msuli au kikoi. Kwa hiyo wananchi wanaovaa vikoi kwa sasa ndani wako utupu kama walivyozaliwa.Hii ni hatari mno kwa afya. Mtapigwa goli na hadi mtavua hiyo misuli
willy ze great JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 1,071 Reaction score 1,303 Nov 29, 2023 #2 .. .n NM. L.n . N. . . MN B. Jwg .n. NM3p .
Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 2,824 Reaction score 2,264 Nov 29, 2023 #3 Bdxjxnnmk fddd
Majok majok JF-Expert Member Joined Aug 3, 2023 Posts 783 Reaction score 2,057 Nov 29, 2023 #4 Cashman said: Rejea maelezo ya Manara juu ya uvaaji wa vazi maarufu kama msuli au kikoi. Kwa hiyo wananchi wanaovaa vikoi kwa sasa ndani wako utupu kama walivyozaliwa.Hii ni hatari mno kwa afya. Mtapigwa goli na hadi mtavua hiyo misuli Click to expand... Nadhani na timu yako inacheza siku iyo kwaiyo ungejikita kwenye mambo yanayohusu timu yako ya yanga waachie wanayanga usitake tuungane na Mzee Rage na ule msemo wake maarufu kuwa watu wa Simba ni "mbumbumbu"
Cashman said: Rejea maelezo ya Manara juu ya uvaaji wa vazi maarufu kama msuli au kikoi. Kwa hiyo wananchi wanaovaa vikoi kwa sasa ndani wako utupu kama walivyozaliwa.Hii ni hatari mno kwa afya. Mtapigwa goli na hadi mtavua hiyo misuli Click to expand... Nadhani na timu yako inacheza siku iyo kwaiyo ungejikita kwenye mambo yanayohusu timu yako ya yanga waachie wanayanga usitake tuungane na Mzee Rage na ule msemo wake maarufu kuwa watu wa Simba ni "mbumbumbu"
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 30, 2023 #5 Mambo yao waachie wenyewe...
K Kichuchunge JF-Expert Member Joined Dec 2, 2020 Posts 384 Reaction score 970 Dec 1, 2023 #6 willy ze great said: .. .n NM. L.n . N. . . MN B. Jwg .n. NM3p . Click to expand... Nimekuelewa sana ni kweli, kweli kabisa
willy ze great said: .. .n NM. L.n . N. . . MN B. Jwg .n. NM3p . Click to expand... Nimekuelewa sana ni kweli, kweli kabisa
Yoav Gallant JF-Expert Member Joined May 23, 2023 Posts 2,122 Reaction score 4,699 Dec 1, 2023 #8 Nimesikia mzee Mpalange atakuwepo