Akihojiwa leo baada ya ushindi wa goli nne,amekiri ule sio uwezo wa Yanga kwani walikwenda kuwaangukia wazee na yeye anasema walichomoa waya mmoja wa mechi za ligi.
Hata hivyo bado waya wa mechi za kimataifa hawajachomoa hadi viongozi waeleweke.
Ameendelea kusema kuwa,wakieleweka tu hata kimataifa watafanya maajabu ya ngamia kupenya tundu la sindano.
Kauli hizo hakuna kiongozi yeyote wa Yanga anaweza kuikanusha kwa kuwa ni kweli.
Mpira wa Tanzania ni mashindano ya uchawi tu na ndio maana inabidi wachezaji wakaombewe ili wafanye vizuri.
Kama mambo yenyewe ndiyo hayo,nguvu za majini zinatumika,kuna haja gani ya kusajili wachezaji kwa gharama kubwa?
Mchezaji anasajiliwa ksiha anarogwa anaishia kuwa kama veteran kila siku majeruhi kama walivyomfanya Kramo na Mayele.
Inasikitisha iwapo kweli mashabiki hadi makasisi wanashabikia utaalamu wa majini ukioneshwa kwenye soka.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app