Lengo kubwa la kusajili hivi vikundi ni kwa ajili ya usalama wa wanachama wanaochangia fedha zao,mfano mmechangishana labda ikafika milioni 20,wachache wakaamua kukimbia na hizo fedha...utawashtaki wapi;au mwanachama akafariki huku akiwa amechangia kiasi kikubwa cha fedha,je mnufaika atafaidikaje.