Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Kafanya makubwa bwana!!!!Duh! Meko bwana, anauza chakula ili kununua sports car kumkoga jirani?
Hilo la nyongeza wanaumia sana sema ndiyo hivyo wanakufa na tai shingoni!Hata mishahara kuongeza wameshindwa alafu bado wanajifananisha na wengine waliotangulia ambao wao walijaribu ku-balance mambo ili kila sehemu ipate fedha zinazohitajika.
Katika hili,historia itamuhukumu sana Magu na wasaidizi wake.Hilo la nyongeza wanaumia sana sema ndiyo hivyo wanakufa na tai shingoni!
Mkuu, ule ushauri wa maridhiano ni wa maana mno. Utatunusuru kama taifa ktk mambo mengi sana yenye kuhitaji hekima, maarifa na busara.Hivi ndivyo alivyoandika Zitto kupitia mtandao wa twitter:
Mwezi Oktoba mwaka 2015 Taifa lilikuwa na Akiba ya Chakula Tani 253,600. Tangu Serikali ya CCM ya Awamu ya 5 iingie madarakani haitengi Fedha za kununua chakula cha Akiba na ilichokikuta iliuza ili kununua Ndege. Sasa kuna akiba ya Tani 55,000 tu sawa na kilo 1 tu kila Mtanzania.
Sehemu kubwa ya fedha mmeelekeza kwenye miundombinu huku sekta na maeneo mengine mkiyapuuza na haya ndio matokeo yake.ZZK ni mpiga dili tu na wakala wa mabeberu, hii nchi ni tajiri na awamu ya tano imewezesha uchumi kukua kwa zaidi ya 7%, pato la Mtanzania limekuwa pia, mabarabara kila kona, Madege angani, SGR, Stieggler's.
Huyu ZZK ndio wale wanaomkatisha tamaa Rais wetu JPM kipenzi cha wanyonge wa nchi hii, nchi imeliwa sana hii JPM anainyoosha balaa..
ZZK ni mpiga dili tu na wakala wa mabeberu, hii nchi ni tajiri na awamu ya tano imewezesha uchumi kukua kwa zaidi ya 7%, pato la Mtanzania limekuwa pia, mabarabara kila kona, Madege angani, SGR, Stieggler's.
Huyu ZZK ndio wale wanaomkatisha tamaa Rais wetu JPM kipenzi cha wanyonge wa nchi hii, nchi imeliwa sana hii JPM anainyoosha balaa..
Hivi Expiring dates ya hivi vyakula vya akiba ni muda gani!?Hivi ndivyo alivyoandika Zitto kupitia mtandao wa twitter:
Mwezi Oktoba mwaka 2015 Taifa lilikuwa na Akiba ya Chakula Tani 253,600. Tangu Serikali ya CCM ya Awamu ya 5 iingie madarakani haitengi Fedha za kununua chakula cha Akiba na ilichokikuta iliuza ili kununua Ndege. Sasa kuna akiba ya Tani 55,000 tu sawa na kilo 1 tu kila Mtanzania.
Utasikia kama hufanyi kazi na usileHivi ndivyo alivyoandika Zitto kupitia mtandao wa twitter:
Mwezi Oktoba mwaka 2015 Taifa lilikuwa na Akiba ya Chakula Tani 253,600. Tangu Serikali ya CCM ya Awamu ya 5 iingie madarakani haitengi Fedha za kununua chakula cha Akiba na ilichokikuta iliuza ili kununua Ndege. Sasa kuna akiba ya Tani 55,000 tu sawa na kilo 1 tu kila Mtanzania.
Hivi ndivyo alivyoandika Zitto kupitia mtandao wa twitter:
Mwezi Oktoba mwaka 2015 Taifa lilikuwa na Akiba ya Chakula Tani 253,600. Tangu Serikali ya CCM ya Awamu ya 5 iingie madarakani haitengi Fedha za kununua chakula cha Akiba na ilichokikuta iliuza ili kununua Ndege. Sasa kuna akiba ya Tani 55,000 tu sawa na kilo 1 tu kila Mtanzania.
Mkuu hiyo dhihaka ni ya hali ya juuZZK ni mpiga dili tu na wakala wa mabeberu, hii nchi ni tajiri na awamu ya tano imewezesha uchumi kukua kwa zaidi ya 7%, pato la Mtanzania limekuwa pia, mabarabara kila kona, Madege angani, SGR, Stieggler's.
Huyu ZZK ndio wale wanaomkatisha tamaa Rais wetu JPM kipenzi cha wanyonge wa nchi hii, nchi imeliwa sana hii JPM anainyoosha balaa..
Zitto ni mzigo kwa ujumla ila anaonekana wa maana kwa kuwa yuko upinzani
Naona kuna watu hawa utofauti ni itikadi ya vyama tu ila wanafanana kwa vitu vingi
Zitto
Makonda
Gambo
Mnyeti
Mbowe
Katambi
Na wengne wengi