Kwa mujibu wa Zitto, hiki ndicho kiwango cha akiba ya chakula Tanzania

Mnyonge ni wewe na ndugu zako kijijini kwenu nyie makapuku mnapenda kujishusha kama mbwa Kwa chatu
 
Nyumbu ni nyumbu tu, unajazwa upepo na maujinga ujinga tu. Akiba ya chakula si lazima iwe chini ya serikali yote, hata hiyo iliyo chini ya watu binafsi na makampuni pia ni akiba ya watz na itauzwa Tz.

Lengo la serikali kununua chakula ilikuwa ni price control kwa kiasi kikubwa, sera ya saivi ni kuachia wakulima wa nafaka uhuru zaidi kwenye bei, muwe mnatumia na akili zenu kabla hamjalishwa ma ujinga ujinga na nyumbu wenzenu.
 
Yaani ukiitwa mpinzani tu,lazima kuna ujinga uingie kichwani mwako...
 
Tunaaibishwa katika kiwango cha kimataifa
 
Kwahiyo zitto siku hizi ndiye mkurugenzi wa National Food Reserve Agency?
 
Aisee! Akili matope hii!
 

Miundo mbinu inalipa maana ina RUSHWA.
 
Vipi kuhusu deni la taifa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…