mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,562
- 2,493
Zitto alituambia kwamba CAG Mstaafu Pro.Asad haonekani, vipi mbona hajatuhabarisha kama keshaonekana au la?Hivi ndivyo alivyoandika Zitto kupitia mtandao wa twitter:
Mwezi Oktoba mwaka 2015 Taifa lilikuwa na Akiba ya Chakula Tani 253,600. Tangu Serikali ya CCM ya Awamu ya 5 iingie madarakani haitengi Fedha za kununua chakula cha Akiba na ilichokikuta iliuza ili kununua Ndege. Sasa kuna akiba ya Tani 55,000 tu sawa na kilo 1 tu kila Mtanzania.
Hoja ni zote mbili zitto na akiba ya chakulaHivi hapa hoja ni zito au akiba ya chakula,mkuu nisaidie na mie nielewe ili nichangie hoja
Zitto alituambia kwamba CAG Mstaafu Pro.Asad haonekani, vipi mbona hajatuhabarisha kama keshaonekana au la?
Hahaah uchumi unakua mbn hawez kuajil ila anaeeza tu kufkza wafnykz hew Mbn hamuongez mshara naona mmejfch nyuma ya stglas ,SGR na ndege ambazo iyo mirad ni pesa za mkopo den la Taifa from 25 to 54 mi naona uchum haukui tuwen wawaz tu co aibu kua muwazZZK ni mpiga dili tu na wakala wa mabeberu, hii nchi ni tajiri na awamu ya tano imewezesha uchumi kukua kwa zaidi ya 7%, pato la Mtanzania limekuwa pia, mabarabara kila kona, Madege angani, SGR, Stieggler's.
Huyu ZZK ndio wale wanaomkatisha tamaa Rais wetu JPM kipenzi cha wanyonge wa nchi hii, nchi imeliwa sana hii JPM anainyoosha balaa..
Kama una tusi jipya tukana ila kama huna funga bakuli lako.Ukitukanwa utasema mi mkorofi ngoja nikuache kama ulivyo
na
UPUMBAVU WAKO
Mtakula hayo mandege yenu.Nyumbu ni nyumbu tu, unajazwa upepo na maujinga ujinga tu. Akiba ya chakula si lazima iwe chini ya serikali yote, hata hiyo iliyo chini ya watu binafsi na makampuni pia ni akiba ya watz na itauzwa Tz.
Lengo la serikali kununua chakula ilikuwa ni price control kwa kiasi kikubwa, sera ya saivi ni kuachia wakulima wa nafaka uhuru zaidi kwenye bei, muwe mnatumia na akili zenu kabla hamjalishwa ma ujinga ujinga na nyumbu wenzenu.
ZZK ni mpiga dili tu na wakala wa mabeberu, hii nchi ni tajiri na awamu ya tano imewezesha uchumi kukua kwa zaidi ya 7%, pato la Mtanzania limekuwa pia, mabarabara kila kona, Madege angani, SGR, Stieggler's.
Huyu ZZK ndio wale wanaomkatisha tamaa Rais wetu JPM kipenzi cha wanyonge wa nchi hii, nchi imeliwa sana hii JPM anainyoosha balaa..