djesco Senior Member Joined Jun 26, 2013 Posts 166 Reaction score 52 May 6, 2014 #1 Wakuu nimefungua duka hapa dar es salaam, so kama kuna mtu yeyote anayeuza mchele na maharage ya soya kwa bei ya jumla ambayo ni reasonable tuwasiliane ili awe ananiletea kilo mia kwa brand tatu tofauti. nitafute hapa 0786404808 0715404808
Wakuu nimefungua duka hapa dar es salaam, so kama kuna mtu yeyote anayeuza mchele na maharage ya soya kwa bei ya jumla ambayo ni reasonable tuwasiliane ili awe ananiletea kilo mia kwa brand tatu tofauti. nitafute hapa 0786404808 0715404808
GITWA JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 1,572 Reaction score 1,781 May 6, 2014 #2 Watakuja vuta subira.
MC RAS PAROKO JF-Expert Member Joined Feb 14, 2013 Posts 623 Reaction score 606 May 7, 2014 #3 Nipe bei ya kilo moja ya mchele kwa kila Grade then nione kama kuna uwezekano wa kulifanya hili (hata ukinipa pm ni sawa)
Nipe bei ya kilo moja ya mchele kwa kila Grade then nione kama kuna uwezekano wa kulifanya hili (hata ukinipa pm ni sawa)